Eric Omondi kaja na parody ya ‘The Gods Must Be Crazy’

Maboso

JF-Expert Member
Feb 18, 2013
5,164
5,762
Baada ya kufanya parody ya filamu maarufu ya Afrika Kusini, Sarafina, mchekeshaji wa Kenya, Eric Omondi anarejea tena na parody ya filamu maarufu ya ‘The Gods Must Be Crazy.’ Omondi ameiita parody yake, The Gods Are Not Crazy: We are.



eric1.jpg
eric2.jpg
eric3.jpg
eric4.jpg
eric5.jpg
 
Huyu jamaa kwa kusafiria nyota za watu hajambo, alianza na kina Diamond na Magufuli sahivi kahamia kwenye muvi maarufu
 
Ngoja wenye movie zao asilia waje juu. Atajuta kuigiza. Anaharibu kazi za watu. Soon and very soon muziki wake atasimulia.
 
hivi hiz kazi zake kuna watu wanaonunua kweli?
Omondi must be crazy
 
Sanaa ya kuiga hajaianza Omondi..!
Watu wengi sana walio na majina makubwa dunia kwenye tasnia ya Sanaa.. walianza kwa Kuiga kazi za watu wanaowaAdmire.. nao walidharauliwa sana..
Kwahiyo wewe nawe unapita humohumo..
Huyu haigizi anafanya parody for the aim of getting money and fame.He lacks creativity as a comedian(well known) sio kama hao walioanza kwa kuiga(not parody) walikua hawajulikani.
 
Kama ile sarafina ,pale kwenye madarasa na wale wazungu wanajeshi mbona eneo ni lile lile aliloigizia huyu omondii alienda wapi kuigiza
 
Mi anikera tu sio mbunifu,plagiarism tu hana lolote bora abaki na standing comedy tu.
 
Back
Top Bottom