Sasa hili ni ajabu la dunia kivipi? kwamba hizo sio sababu za kufeli kwa wanafunzi au nini?
na wewe uwe unafikiria hata kidogo tu khaaaa,msongamano na ukosefu wa walim unasababisha watoto wasijue kusoma na kuandika,its okay but WANAFAULU VP?,mbona unajitoa ufaham kwa jambo dogo hvi?,unakera sana
wewe akili yako inakaa katika kiungo gani cha mwili.
wanadai kuwa wanafunzi wa sekondari hawajui kuandika na kusoma kwa sababu ya msongamano darasani.
kwa akili yako kama kuna msongamano ni lazima wafaulu,na je huo msongamano sekondari umepunguza akili za wanafunzi.
na kama ni msongamano wa shule za msingi unahusika vipi na kufaulu.
Erasto Zambi mwalimu wangu siku nyingi, amefariki?
Alikuwa kikaa sehemu za Ubungo nafikiri Extnal au Mabibo, ndiye huyo!
Hebu nipe details mkuu!
nakuruMkuu wa wilaya Mbozi; watoto 70% waliyochaguliwa kuingia kidato cha kwanza na watoto 28,000 waliyopo sekondari wilaya hiyo hawajui kusoma na kuandika:
Hii ni taarifa ya habari ya saa 4 asubuhi leo -TBC, hili tatizo liko Tanzania nzima kila wilaya ina wanafunzi wa shule za msingi na sekondari wasiyojua kusoma na kuandika! hii serikali hafai hafai na haistahili tena kuongoza nchi yetu, huu ni mkakati mahsusi wa kufanya watotot wa maskini wasipate elimu kwani wakipata elimu watatambua haki zao.......kwa namna hii hakuna taifa hapa huwezi kuwa na taifa ambalo halina elimu ukasema una taifa, na hili limejidhihirisha wazi baada ya Mh. Mbatia kuleta hoja ya kuundwa tume ya kuangalia udhaifu wa elimu tanzania ikakataliwa na spika wa bunge pamoja na wabunge wa maccm........kukataa jambo ambalo lina maslahi ya taifa ni kwamba kuna agenda ya siri imefichwa na wanaokataa, Mh. lowasa alisema hoja ya mbatia ni ya msingi na akaenda mbali zaid akaongeza kanunu za bunge zinaweza kuvunjwa ili kuruhusu hoja au jambo muhimu lenye maslahi ya taifa yafanyike, hatuwezi kuendelea kunyayaswa kwa makusudi na hii serikali tena, sisi wananchi tutatumia maombi, nguvu na akili zetu zote kuondoa hii serikali madarakani hata ikibidi baadhi yetu kupoteza uhai kwa ajili ya ukombozi wa wengi tutafanya hivyo. ee Mwenyezi Mungu tusaidie tulikomboe taifa hili. AMEN
Erasto Zambi mwalimu wangu siku nyingi, amefariki?
Alikuwa kikaa sehemu za Ubungo nafikiri Extnal au Mabibo, ndiye huyo!
Hebu nipe details mkuu!
Lo!Ee Naam alikwishafariki. Kabla ya kustaafu alikuwa Kocha wa Michezo chuo kikuu cha Dar es Salaam. Pia alipata kuwa Katibu Mkuu kamati ya Olympic ya Tanzania. Alikuwa akiishi Ubungo Kibangu baada ya shimo la Kajima.
kinachozungumzwa hapa ni mtoto kwenda sekondari huku hajui kusoma ambalo CCM wanasema limesababishwa na Msongamano na walimu wachache je vinamahusiano? na tukio hili linaingia kwenye maajabu ya Dunia kwa mwanafunzi kufauru huku hajui kusoma wala kuandika.Sasa hili ni ajabu la dunia kivipi? kwamba hizo sio sababu za kufeli kwa wanafunzi au nini?
Ielewe mada vizuri kwanza ndio uchangie. Hao wanafunzi hawakufeli, wamefaulu japokuwa hawana uwezo wa kusoma wala kuandika!!!!!Sasa hili ni ajabu la dunia kivipi? kwamba hizo sio sababu za kufeli kwa wanafunzi au nini?
Nimeiskia kutoka taarifa ya habari TBC kutoka Mbozi eti kufaulu kuingia sekondari kwa wanafunzi wasiojua kusoma wala kuandika ni kutokana na kuwa na msongamano wa wanafunzi madarasani na kuwa na waalimu wachache.
Hili kwangu ni ajabu la dunia kwa sababu CCM sasa imeamua kujitoa akili,haiingii akilini msongamano wa wanafunzi na uchache wa waalimu inahusiana vipi na kufaulu.
Namwomba mbunge Erasto Zambi wa Mbozi aje hapa atuelezee mafanikio ya ilani ya CCM Mbozi na hili ajabu la dunia huko.
Hii ni sehemu ndogo tu ya Tanzania.je hali ikoje nchi nzima.