Mambo hayo yalikuwa yananikela kweli ma pertubation, hilbert space, operator na hiyo shrodinger's ahh. Mi mpenzi sana wa classical physics mambo ya V = IR
MTU kwenye IQ namba 1 duniani yeye hakuwa na theory yoyote iliyobadilisha ulimwengu licha ya kuwa wa kwanza kuipatia duniani mwanga na kufanya kurahisisha mawasiliano-Nikola Tesla.
MTU kwenye IQ namba 1 duniani yeye hakuwa na theory yoyote iliyobadilisha ulimwengu licha ya kuwa wa kwanza kuipatia duniani mwanga na kufanya kurahisisha mawasiliano-Nikola Tesla.
Faraday ameleta mapinduzi makubwa kwenye ishu nzima ya kufua umeme, ila sidhani kama anapewa umuhimu sana. Wakati alifanya gunduzi iliyoumiza vichwa vya watu kwa muda mrefu