Mi nimeshangaa sanasasa kama mtu hataki usumbufu wa sim. Ya nini kununua sim? Au kuwapa watu namba yako? Unataka kusema waliotengeneza sm ni wajinga?Tufike sehemu tujue tunachoandika na tunachosema mbele ya jamii sio kukurupuka tu
mkuu umeelewa kinachosemwa hapa????si wakati wote utakuwa tayari kupokea cm,upo wakati mtu huhitaji mapumziko,tafakari kwanza kabla ya kumponda mwenziosasa kama mtu hataki usumbufu wa sim. Ya nini kununua sim? Au kuwapa watu namba yako? Unataka kusema waliotengeneza sm ni wajinga?Tufike sehemu tujue tunachoandika na tunachosema mbele ya jamii sio kukurupuka tu
si wakati wote utakuwa tayari kupokea simu,upo wakati wa utulivu,na ukizima cm hutajua nani kakutafutaMi nimeshangaa sana
sasa kama mtu hataki usumbufu wa sim. Ya nini kununua sim? Au kuwapa watu namba yako? Unataka kusema waliotengeneza sm ni wajinga?Tufike sehemu tujue tunachoandika na tunachosema mbele ya jamii sio kukurupuka tu
FULL MAUJANJA NJIA
ZA KUEPEKA USUMBUFU
WA SIMU JARIBU SASA Kama hutaki usumbufu
pia unaweza ku forward
simu zote na ukapata sms
pindi mtu akikupigia
*21#0754125125#ok hii
ni kwa voda. Kwa zantel ni *21#+255125#ok.
Ukitaka kutoa
##002#ok.
Sim itakua haipatikani
pindi mtu atakapo
kupigia ila wewe utapata sms ya sim aliyokupigia
kwa mda huo huo. ACHA
COMMMET YAKO MUHIMU... I HOPE MAANDISHI YAONEKANA ENJOY!!​
mkuu,usumbufu wa simu unatokea ktk mazingira yafuatayo, 1.kuna wakati mtu upo kwenye kikao muhimu huitaji simu kuita lakin unaitaji kujua nani anakutafuta 2.kuna wakati mtu unaendesha gari au upo na watu sehemu ambapo huwezi kutoka kuongea na simu pembeni,lakni pia ukiongea pale utawakwaza wenzio au sir kuvuja 3.kunawakati mtu upo unaendesha semina au upo ibadani/kanisani 4.kuna wakati mtu umepumzika na mwe[/QU hata kama ni sehemu ambayo sir zitavujishwa unaweza kuweka silence bila mtu kujaa ama kuzima kabisa kwa sababu ina mana gani kuingia na sim kanisan huku ikiwa on?
mkuu umeelewa kinachosemwa hapa????si wakati wote utakuwa tayari kupokea cm,upo wakati mtu huhitaji mapumziko,tafakari kwanza kabla ya kumponda mwenzio[/QU kama unahitaji kupumzika ya nini kusumbuka na sim kama unataka kupumzika zima sm yako anayekupigia akikukosa hewan atakupigia badae kama ana point na wewe lakin sio kusema unataka kujua nani kakupigia huku upo mapumziko.sasa utakuwa umepumzika au unaangalia nani kakupigia?
sasa kama mtu hataki usumbufu wa sim. Ya nini kununua sim? Au kuwapa watu namba yako? Unataka kusema waliotengeneza sm ni wajinga?Tufike sehemu tujue tunachoandika na tunachosema mbele ya jamii sio kukurupuka tu
Sasa si bora tu uzime!!.[/QUumeonaeee