Mimi na madanga ni vitu viwili tofauti wifi yangu mdogo wako ndo kanikimbia hata nikimtafuta simpati[emoji19]Hawezi kunidanganya wewe ndio unanidanganya itakuwa umepata danga huko ukamtema mdogo wangu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sichezi mbali saiv. Yani ukiacha au ukiacha nachangamkia fursa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hapana sio divorce maana we are not married, kuachana tu sijui kuachwa au kuacha[emoji1787]kitakacho tangulia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
kama document gani Rebecita?usimwachie documents zozote zenye jina lako..
kama document gani Rebecita?
hahaha alafu kumbe kweli dada,Za nyumba, bills,wengine wanatumia vibaya details za watu, ni sawa na huku mtandaoni tunavyoogopa kutoa details zetu, ndivyo hivyo usimwachie mtu details zako, wasije misuse your details. Ni hayo tu my kaka
hahaha alafu kumbe kweli dada,
umenikumbusha kuna kisa nilikisoma mahali....mwanaume mmoja baada ya kuachana na mwanamke wake alitumia cards na documents za huyo ex wake kununua gari akaenda kulipaki airport, parking charges zilikuja kuwa kubwa yule mwanamke alitakiwa kulipa.
ni visasi...huwezijua waliacha vipi,[emoji16][emoji16][emoji16] jamani watu wana miroho mibayaa
Hapo ndio unaelewa ule usemi wa kimalkia unaosema 'there is a thin line between love and hatred' ni swala la wakati tu.[emoji16][emoji16][emoji16] jamani watu wana miroho mibayaa
ni visasi...huwezijua waliacha vipi,
ila kuachana kwa ugomvi ni ujinga.
Duuuuuuuuuusimwachie documents zozote zenye jina lako..
Duuuuuuuuu
Sent from my TA-1024 using Tapatalk
Dear,hivi mkiachana ndio muishi kwa uadui hivyo.Kumbuka siku moja mtaungana hata kwa dakika kadhaa tuu.Wapenzi hawaachani forever.mbona hivyo dear?
Dear,hivi mkiachana ndio muishi kwa uadui hivyo.Kumbuka siku moja mtaungana hata kwa dakika kadhaa tuu.Wapenzi hawaachani forever.
Sent from my TA-1024 using Tapatalk
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kwenye mapenzi hata kama mmetoana ngeu bado kuna siku mtaifuta ngeu kwa mahaba.Once umefanya nae tendo,huyo ni wako daima.Trust me.Kuachana hakuja wahi kuwa kuzuri hata siku moja.Lakini kwa kuwa ninyi mwajuana vilivyo, mapenzi ni sehemu yenu,no matter what.labda mwenzangu una historia nzuri za kuachana,dont trust anybody that much lol,kwa wale waliojeruhiwa wanaelewa namaanisha nini..people can be malicious nduguβ¦.sio wote ni binadamu..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kwenye mapenzi hata kama mmetoana ngeu bado kuna siku mtaifuta ngeu kwa mahaba.Once umefanya nae tendo,huyo ni wako daima.Trust me.Kuachana hakuja wahi kuwa kuzuri hata siku moja.Lakini kwa kuwa ninyi mwajuana vilivyo, mapenzi ni sehemu yenu,no matter what.
Sent from my TA-1024 using Tapatalk
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].Unaweza kumezwa hivi hivi?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mkuu Kibumbula hujayaona wewe ya walimwengu...una raha saana hujakutana na mapepo wenye sura ya binadamu LOL....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].Unaweza kumezwa hivi hivi?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent from my TA-1024 using Tapatalk
Balaaaaa.Ushakumbwa na hilo nini?πππππππππππππ yaani ni jinni mkula watu.. πππππππ
Balaaaaa.Ushakumbwa na hilo nini?
Sent from my TA-1024 using Tapatalk