Epuka Kupotezewa Muda Wako

Epuka Kupotezewa Muda Wako

Si ungeandika tu vizuri?By the way ushauri wako ni mzuri sana binafsi nimeupenda.
 
Siku hizi ni kuomba mungu tu yakutokee mazuri hata kama siyo kwa asilimia mia moja. Vichwa na mioyo ya watu havitabiriki. Mnaweza mkachukua muda mfupi kwenye mahusiano lakini ndoa ikavunjika mapema. Mnaweza mkachukua muda mrefu kwenye uhusiano na bado ndoa ikadumu. Kuna kuchoka na kuchokana.
 
Hizo tha, the, thi, tho na thu zinaboa
 
Wordsworth kwa kweli.
ila thatha thi ungeomba hata rafiki akufanyie proof reading jaman..
 
Hadi ukiona umemuoa ndo uamini vinginevyo ni vinyonga, hubadilika
 
mada nzuri sana hii
Watu hupuuza mambo kama hayo na kuforce mahusiano kitu ambacho sio kizuri
kuna uwiano flani amabao mbatakiwa kuwa nao ila si lazima kulandana kila kitu japo isiwe hamlandani kwa mambo mengi
 
Hizo th th zako bora kama we wa kike aisee....
 
Thawa tumekuthikia mawazo yako ya kithembe.. Hakuna anayepotethewa muda wake bali kupotetheana kwa wote tu.. Kama ndoa tu hata tha kanithani thinafunjika itakuwa uhuthiano tu!?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom