Epuka kuoa Feminist

Hukufanya vetting Mkuu, msiowe matako oeni wake, na kumbukeni mke mwema hutoka kwa Bwana (Mwenyezi Mungu) so usione shida kupiga goti pia.
 
Lakini jamani ebu tupeane mbinu za kuwadhibiti kisawasawa hawa wasomi wetu kutoka jikoni,kuliko kuwakimbia!tutakimbia wangapi sasa Jamani!!??
Mzidi akili tu

Kuna mwanamke nilizaa nae akawai kupata kazi Tasac mimi nikawa jobless lkn bado akawa na heshima kwangu all in all alinifumania tukaachana......... yeeKatunge weeeee I miss you [emoji21]
 
Lakini jamani ebu tupeane mbinu za kuwadhibiti kisawasawa hawa wasomi wetu kutoka jikoni,kuliko kuwakimbia!tutakimbia wangapi sasa Jamani!!??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Naunga mkono hoja mwanawake wa sasa ni bomu
 
Ma feminist wanibuka sana wakishagundua sheria za ndoa zinawalinda , kataa ndoa , ndoa ni utapeli.
 
Nakubaliiiiiiiiii!!!!!

kila mtu ana chaguo lakee. Kusiwepo lawamaa.
 
Tatizo mnaoa sura na shape hamchunguzi tabia
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…