Epuka kuhifadhi vitu hivi kwenye fridge

20PROFF

JF-Expert Member
Nov 5, 2013
8,147
7,128
1468067551493.jpg
1468067557482.jpg
1468067561501.jpg
1468067566152.jpg
1468067571061.jpg
1468067577242.jpg
1468067583534.jpg
1468067590472.jpg
1468067597543.jpg
1468067606711.jpg
 
ila tikiti likiwa la baridi tamu....hayo mengine tutajua baadae

Hapana mkuu.....ukianza kujifunza kula kwa nidhamu unazingatia natural foods mtazamo wako kuhusu life utabadilika kabisa. Trust me upo na watoto hapo wanahitaji kufijunza kuhusu natural foods....kujua na kuzingatia mambo tunayozani madogo ndio the way to go hasa hivi. Ignorance ipo katika namna nyingi.....anza kula vyema mkuu. Salimia familia yako.
 
Kuishi Afrika tu ni shida tosha, hayo mambo ya friji tu msamiati
Yaani wewe adui yako ni Africa? What a self denied person are you? Africa ndio bara ambalo umezaliwa hata ukienda ulaya ujue wewe ni mwafrika tu, unafikiri wote waliozaliwa ulaya wanaishi kiulaini? Life is how you make it, acha kujikana penda bara na nchi yako, unajilaani mwenyewe unafikiri utaendelea karma is around you.
 
Mbona naona kama kila kitu kina madhara sasa! wengine wamedai kupasha kwa microwave kuna madhara gani sijui nini na nini sasa tuishi karibu na magenge nadhani!
 
Back
Top Bottom