Mbilimbi Mbovu
Senior Member
- May 25, 2015
- 185
- 119
Wachangiaji, nadhani mtoa mada anamaanisha vitu visivyoonekana kwa maana ya viumbe vya kiroho. Kuna ushahidi usio na shaka kuwa kuna uhusiano kati ya choo/bafu na makazi ya majini/mapepo/roho chafu na ngono ni tendo la kimwili lenye athari za kiroho; fo sho majini hupenda kukaa kwenye matumbo ya uzazi ya wanawake.
Sidhani kama kumbeza ni vizuri. Uhusiano wa chumvi na alichokisema siufahamu ila naweza kuwa na picha ya anachotaka kusema. Kuna wakati niliwahi kuishi maeneo yenye ushirikina wa kiwango cha kati, wenyeji wanadai kuwa huwezi kufanya shughuli kama ujenzi ikafanikiwa; hivyo wakapendekeza kabla ya kuanza mradi unyunyize chumvi na kunuia mema kwa unachotaka kufanya.
Mti wa Chuma, ahsante kwa tahadhari!
Basi hivyo viumbe vitakua vimechungulia mbunye za watu mpaka basiii duuuuu
Wakristo mnanishangaza sana!sasa we na mleta mada kuna tofauti gani mkuu....
Hizo imani potofu tu...chumvi ya kuweka kwenye mboga bwana sio chooni, kumbuka fikra huumba.... namaanisha ukifanya chumvi kuwa ulinzi wako ipo siku hutaiweka hapo na utahisi kama kweli kuna tatizo,shetani hachelewi kukuvuruga hapo maana ameishajua udhaifu wako...
achana na hayo mambo..mtegemee Mungu tu.
Mapenzi Ni Uchizi Kaka Yani Ile Feeling Ya Kwamba Ur Being Nasty Na Ule Uprivate Wa Kule Juu Dah Ilikua Inanoga Sana. Kuna Siku Akaniambia Huko Juu Leo Sipandi Nikawa Mpole Eti Baadae Akapanda Afu Ananiita.
Ivyo Ndo Vitu Namkumbuka Na Yy Ananikumbushiaga.
Ananiitaga Mzee Wa Dari.
Ninachofahamu ni kwamba:
1. Chumvi ni dawa ya kufukuza mambo ya giza yasikudhuru, kwani hata baadhi ya maaskofu/wachungaji huwa wanashauri kwamba mbali na maji ya baraka, pia kumwaga chumvi kuzungukia kitanda chako kabla ya kulala ni jambo jema.
2. Inasemekana kwamba katika nyumba, "mambo ya giza" hupendelea sana kukaa bafuni/chooni.
Nimetumia neno "mambo ya giza" kumaanisha yale yale anayojadili mtoa mada.
Vinginevyo tumweke mungu mbele, yeye ndiye mlinzi wetu wa ukweli na uhakika.
Habari msomaji wa uzi huu.
Ni siku nyingine tena tumekutana jamvini.
Twende kwenye mada...
Watu wengi hupendelea kufanya mapenzi wakiwa bafuni au chooni wakiwa wanaoga, asilimia kubwa wanaofanya hivo ni vijana.
Kuna hatari kubwa unaweza kupata ukifanya mapenzi bafuni ama chooni. Bafu na choo si sehemu pazuri pia si mahala salama, huko kuna viumbe wasionekana kwa macho ya binadamu.
Hivyo ukifanya mapenzi huko kuna uwezekano 100% viumbe hao wakakuingia mwilini na kusabibisha mambo mabaya juu yako, yakiwemo kuingiliwa kimwili ndotoni usiku unapokuwa umelaa.
Kuwa na tamaa ya ngono, kupungua nguvu za kiume, kama u mjamzito mimba kuharibika, ndoa/mahusiano kuvunjika, kutojisikia raha/hamu ya kufanya mapenzi. Hivyo ni hatari kufanya mapenzi bafuni au chooni.
Pamoja na hivo kama unatumia bafu/choo cha ndani na unapenda kusex huko kabla hamjafanya mapenzi fanya hivi; Chukua chumvi mwaga kidogo mlangoni mwa bafu au choo mtakuwa salama.
Mkuu mada yako ina lenga kufundisha watu mambo ya majini au athari za kufanya mapenzi bafuni?Habari msomaji wa uzi huu.
Ni siku nyingine tena tumekutana jamvini.
Twende kwenye mada...
Watu wengi hupendelea kufanya mapenzi wakiwa bafuni au chooni wakiwa wanaoga, asilimia kubwa wanaofanya hivo ni vijana.
Kuna hatari kubwa unaweza kupata ukifanya mapenzi bafuni ama chooni. Bafu na choo si sehemu pazuri pia si mahala salama, huko kuna viumbe wasionekana kwa macho ya binadamu.
Hivyo ukifanya mapenzi huko kuna uwezekano 100% viumbe hao wakakuingia mwilini na kusabibisha mambo mabaya juu yako, yakiwemo kuingiliwa kimwili ndotoni usiku unapokuwa umelaa.
Kuwa na tamaa ya ngono, kupungua nguvu za kiume, kama u mjamzito mimba kuharibika, ndoa/mahusiano kuvunjika, kutojisikia raha/hamu ya kufanya mapenzi. Hivyo ni hatari kufanya mapenzi bafuni au chooni.
Pamoja na hivo kama unatumia bafu/choo cha ndani na unapenda kusex huko kabla hamjafanya mapenzi fanya hivi; Chukua chumvi mwaga kidogo mlangoni mwa bafu au choo mtakuwa salama.
Basi kama ni hivyo hiyo chumvi inapaswa kumwagwa katika milango ya ofisi zote za CCM