Epuka hili janga

Epuka hili janga

Marire

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2012
Posts
12,333
Reaction score
5,315
Ndio wameleta escrow
~Epa
~Richmond
~Sasa wamepiga pesa za TTCL mabilion
Tuwape tena urais?
 

Attachments

  • 1432723497600.jpg
    1432723497600.jpg
    8.5 KB · Views: 878
This message/thread is lethal and unsocial. Mods please play your role
 
Kwa mtazamo wangu, Mkono ni legislator, yeye hayuko upande wa mahakama (judiciary) wala hayuko upande wa serikali (rais na mawaziri) hivyo basi hajavunja sheria yeyote kuwa wakili.

Ukitofautisha haya mambo matatu: Bunge, serikali, na mahakama, utakuta Mkono ana kila haki ya kuwa wakili. Hata kama angekuwa waziri bado angekuwa hajavunja sheria kwa kuwa wakili, kwasabbu kati ya bunge, serikali, na mahakama, ni mahakama tu ndio ipo independent of government na bunge.

Hili ni zaidi ya EBOLA tz hii.
 
Tatizo siyo ccm! tatizo ni viongozi waliopewa dhamana ya kuongoza nchi! sheria zipo ila hazifanyi kazi! usalama wa taifa/mahakama zipo ila hazifanyi kazi kama inavyotakiwa!
 
Tatizo siyo ccm! tatizo ni viongozi waliopewa dhamana ya kuongoza nchi! sheria zipo ila hazifanyi kazi! usalama wa taifa/mahakama zipo ila hazifanyi kazi kama inavyotakiwa!

Tatizo ni ccm
 
Back
Top Bottom