Lecheminduroi2
JF-Expert Member
- Jan 7, 2025
- 265
- 668
Lakini hela zetu unazipenda sio? Ni wazi mnajua walevi tunahonga kuliko wazee wa kanisa! Tukiwachukia pia mtakufa njaa πMwanaume anayefanya hayo mambo namchukia sana aisee
Kwa kiasi ina idadi? We bamiza tu ukiona umezidiwa kalale, masuala ya weekend kuondoka bar saa 1 usiku siwezi. πPombe inyweke lakini kwa kiasiπ
Dah mtu akivuta hiyo mambo halafu ukute na vitu vyangu kichwani naona kukosa pumzi kabisaπSigara naonaga ni UJINGA mtupu Ila dar es salaam inaongoza kwa wavuta sigara wengi mpaka vijana wadogo kabisaa..
Wewe ni chapombe masterπKwa kiasi ina idadi? We bamiza tu ukiona umezidiwa kalale, masuala ya weekend kuondoka bar saa 1 usiku siwezi. π
Upo Kama Mimi sipendagi kabisa izo kero za mamoshiπDah mtu akivuta hiyo mambo halafu ukute na vitu vyangu kichwani naona kukosa pumzi kabisaπ
Cha pombe konki masterWewe ni chapombe masterπ
Pombe ina level yake ya starehe ikizidi hapo ni mateso tuCha pombe konki master
Uzi ufungweYalisha ongelewa sana hapa hayo! Hamna jipya hapo.
πππuongo walevi hamuhongi sana mnaona kuliko kutoa hela ni heri mtu umnunulie pombe anyweLakini hela zetu unazipenda sio? Ni wazi mnajua walevi tunahonga kuliko wazee wa kanisa! Tukiwachukia pia mtakufa njaa π
Imasikitisha sana kijana unaenda kuona pono na vinywaji vikaliWanaume,
Mambo haya unatakiwa kuyaepuka sana,
- Pornography
- Uvutaji sigara
- Punyeto/kujichua
- Unywaji pombe kupita kiasi
- Dawa za kuongeza nguvu za kiume
Hayo mambo yanakufanya uwe dhaifu mno.