UZI UPIGWE LAMINATIONWanaume,
Mambo haya unatakiwa kuyaepuka sana,
- Pornography
- Uvutaji sigara
- Punyeto/kujichua
- Unywaji pombe kupita kiasi
- Dawa za kuongeza nguvu za kiume
Hayo mambo yanakufanya uwe dhaifu mno.
Cc: ONTARIONa kulilia mapenzi😡😡😡
Kwanin mkuuNyeto itoe kwenye list.
Mkuu,bangee!Sigara bwege.Nikiona mtu anavuta namshangaaga Sanaa bora mvuta bangee
wee sema kweliMwanaume anayefanya hayo mambo namchukia sana aisee
Amini nakwambiawee sema kweli
Sio kweli😁Mwachi unazingua, mbona pesa hujaiweka? Mwanaume asipompa pesa mwanamke nayo inaathiri mfumo wa ubongo..!!
Inatakiwa waepuke ubahili kwa wanawake, hebu ongeza hapo chini..!!
Kuwa bize na kaziPono na nyeto nimezama humo na sijui natokaje msaada jamani
Wanakunywa pombe na makande ndio maana .Tafuteni hela vijana, ila pombe inasingiziwa sana aiseeee...😶
Sigara naonaga ni UJINGA mtupu Ila dar es salaam inaongoza kwa wavuta sigara wengi mpaka vijana wadogo kabisaa..Mkuu,bangee!Sigara bwege.