Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,897
- 67,394
Wanaitwa chizi mapenziNa kulilia mapenzi😡😡😡
Mwishoni unakuwa zwazwa mapenziWanaitwa chizi mapenzi
Hivi ukimnunulia Abaya umemuhonga eehNyongeza : epuka kuhonga kizembe
Pombe nimeweza, sigara mkuu,najuta kujifunza,yaani tabu!Wanaume,
Mambo haya unatakiwa kuyaepuka sana,
- Pornography
- Uvutaji sigara
- Punyeto/kujichua
- Unywaji pombe kupita kiasi
- Dawa za kuongeza nguvu za kiume
Hayo mambo yanakufanya uwe dhaifu mno.
Mwishoni unakuwa zwazwa mapenzi
zima uhongeNyongeza : epuka kuhonga kizembe
Yalisha ongelewa sana hapa hayo! Hamna jipya hapo.Wanaume,
Mambo haya unatakiwa kuyaepuka sana,
- Pornography
- Uvutaji sigara
- Punyeto/kujichua
- Unywaji pombe kupita kiasi
- Dawa za kuongeza nguvu za kiume
Hayo mambo yanakufanya uwe dhaifu mno.
Kuchonga kizembe,kwamba hupewi mzigo?Nyongeza : epuka kuhonga kizembe
je ukajifunza sigaraPombe nimeweza, sigara mkuu,najuta kujifunza,yaani tabu!
TunakumbushanaYalisha ongelewa sana hapa hayo! Hamna jipya hapo.
Mwachiluwi tumtoe nje huyu mdada🤣🤣🤣asije akachukua mbinu zetu za kuwa strongWanaume mnaitwa huku, Mwachi ana ujumbe wenu.
😂😂😂😂😂
Mbona darasani tunafundishwa na prop tulienda,Wacha waseme!Yalisha ongelewa sana hapa hayo! Hamna jipya hapo.
Mpwa ulishawahi kubutua wanawake wawili chumba kimoja?... Yani mmoja akichoka mwingine anakitegesha 😋Dawa za kuongeza nguvu za kiume
Kashazichukua mbinu 😂Mwachiluwi tumtoe nje huyu mdada🤣🤣🤣asije akachukua mbinu zetu za kuwa strong