Geofre Maseta
JF-Expert Member
- Dec 27, 2022
- 880
- 1,632
Ana umakini gani mkuu?Safi sana mama. Huyo ni mtu makini
Kweli Kama ipo, ipo tu....juzi tu tulikuwa na dili naye la sukari na likatiki na ilikuwa tukutane tena jumatatu dah , hongera sana classmate
Kwani aliyewekwa hapo ni kabila gani?Mbona wakati wa mwendazake mlifanya recycling ya wasukuma na hukulialia namna hii?
Jibu swali uliloulizwahao jamaa akili zimeshachoka ,
Kwanini wasilete watu wengine wenye fikra mpya??
Nani Alikudanganya?AICC wana mishahara ya maana hapo ndio Lowassa alipochomozea wakati akiwa mkurugenzi hapo
Nyota aka "Kibali".Hii recycling ina maana
Hakuna watanzania wengine kabisa??
Ambao ni wazalendo na wamekwenda shule.
Watu wale wale wanazunguka tu nafasi tofauti tofauti over the years?
What is so special about them??
Mafuru si ndio Yule mtangazaji wa TBC Safari Channel?Kuna Mahali inabidi watu wangekua wanatuma maombi.
Niungane na Mpina, Katiba Ina matundu tundu
Ukiona wapiga debe wa legacy wamekuja juu ujue siyo wa mrengo wao.Kwani aliyewekwa hapo ni kabila gani?