GeniusBrain
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 4,315
- 309
Niko sehemu mara jahazi limeanza sina jinsi nalazimika kumsikiliza huyu jamaa. Ni maoni ya upinzani kuhusu muda wa elimu ya msingi kuongezwa. Jamaa wamependekeza dozi ya elimu ya msingi iongeezwe coz wanavijiji kibao ndo wanaishia hapo, halafu four na six ziunganishwe ziwe miaka miwili. Mda wa shule unabakia palepale suala ni huyu mtoto apige na ma VETA hukohuko shule ya msingi. Sina uhakika kama kibonde ameelewa. Suala nafikiri kisa ni point ya upinzani
Jitoe JF wewe umejiunga juzi tu na unaleta utumbo tena , hutufai jitoe !
brain ipi wewe au unatumia tumbo kama asemavyo sitta!jitoe jf wewe umejiunga juzi tu na unaleta utumbo tena , hutufai jitoe !
Lekanenae yuyo mwehu blaiNiko sehemu mara jahazi limeanza sina jinsi nalazimika kumsikiliza huyu jamaa. Ni maoni ya upinzani kuhusu muda wa elimu ya msingi kuongezwa. Jamaa wamependekeza dozi ya elimu ya msingi iongeezwe coz wanavijiji kibao ndo wanaishia hapo, halafu four na six ziunganishwe ziwe miaka miwili. Mda wa shule unabakia palepale suala ni huyu mtoto apige na ma VETA hukohuko shule ya msingi. Sina uhakika kama kibonde ameelewa. Suala nafikiri kisa ni point ya upinzani
hahahahaaa.....the home of great sinkers!sio thinkers tena!Jitoe JF wewe umejiunga juzi tu na unaleta utumbo tena , hutufai jitoe !
jina lake tu KIBONDE......me naona kama kajpendelea,huyo ni m-DEPRESSION kabisa!Mambo ya clouds na Kibonde sipendi kuyasikia thats why huwa sisikilizi hiyo redio na hasa jahazi.Naamua kuspend mda wangu humu jf lakini bado kibonde namkuta!Please wale mnaosikiliza pumba za kibonge sikilizeni kwa faida yenu tu jamani msilete upuuzi wake humu.kuna mengi ya kujadili ya muhimu kuliko kibonde.Ni ombi tu waungwana.
Wewe uliyejiunga siku nyingi una mchango gani kwa taifa hili, kama si kumaliza oxygen bure.
Kwa maneno yako wewe lazima utakuwa punga
kubwa jinga hlo, nalichukia toka niko 4m one na sasa nina mke na mtoto kumbe bado liko vlevle, ilikua mwaka 98