PISTO LERO
JF-Expert Member
- Mar 8, 2011
- 2,819
- 1,458
Mimi Ephata Nanyaro nimezaliwa tarehe 27.11.1984,nina mke mmoja na watoto wawili.
Elimu yangu ni shahada ya kwanza UZOEFU WA KIUONGOZI NDANI YA CHAMA -Mwenyekiti wa BAVICHA mkoa wa Arusha(2009-2014) -Mwenyekiti wa CHADEMA wilaya ya Arusha mjini(2011-2014) -Diwani wa kata ya Levolosi Arusha Mjini(2010-2015) _Mmoja wa waanzilishi wa VIPATU taasisi ya vijana ambayo imeinua vijana wengi Kiuchumi mkoa wa Arusha KWA NINI NAFAA KUWA MWENYEKITI
1.Uwezo wa kiuongozi Nimekiongoza chama wilaya ya Arusha mjini kwa mafanikio makubwa sana,katika kipindi cha uongozi wangu tulifanikiwa kushinda chaguzi zote ndogo,na kata ya Sombetini na Daraja mbili ambazo awali zilikuwa ccm tukazirejesha CHADEMA.Nimewatumikia wanawanchi wangu wa Levolosi kwa uaminifu na uwezo mkubwa,ambapo tumeweza kutekeleza ahadi zetu kwa 80% hadi sasa.
2.Ubunifu Tumebuni miradi mbalimbali ya BAVICHA Mkoa wa Arusha,yenye malengo ya (a)Kuboresha na kuinua maisha ya vijana kiuchumi(b)Kukifanya chama kuwa relevant kwa wananchi wengi.Chini ya mpango huu tulianzisha VIPATU(Vijana pamoja tunaweza)
3.Oganizesheni imara ya BAVICHA Kwa kuwa malengo makuu ya chama ni kuchukua DOLA,na BAVICHA ina jukumu kubwa la Kuhakikisha malengo makuu ya chama yanafikiwa.Hivyo tunahitaji kujenga oganaizesheni imara ya BAVICHA kutoka chini hadi juu.BAVICHA itakayokuwa mhimili mkuu wa CHAMA katika kufikia malengo,hili tutalijenga katika misingi ya Uadilifu,Uwajibikaji,Uwazi,Utu na Ujasi ri mkubwa sana