EPA vs trillion 100, another comedy

EPA vs trillion 100, another comedy

VIVIANET

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2015
Posts
2,129
Reaction score
2,920
Hakuna kitu anachokipenda Mtanzania kama kudanganywa. Na hii ndio njia pekee ya kuishi na mtu mnafiki, huwezi kuishi na mtu mnafiki vizuri bila kumdanganya.

Nashangaa Watanzania wenzangu kuanza kupiga vigelele vya kulipwa trillion 100 na kampuni ya uchimbaji madini ya Acacia inayosemekana imeibia nchi ma trillion ya shilingi. Ebu tujikumbushe kidogo kwa kile kilichotokea baada ya uchaguzi wa 2005 ambao uliambatana na ufisadi wa fadha ya EPA...muda simrefu tulishangilia kwa vigelele tulipoambiwa kuwa walioiba pesa hiyo wamepatikana na wamekubali kuanza kurudisha pesa hiyo, bila kumung'unya maneno ulikuwa uongo mkubwa tuliodanganywa Wadanganyika na kwa unafiki wetu tulimsifia sana Rais. Ebu semeni kweli hivi mabilioni ya EPA yalirudi yakafanya kazi gani?

Nakama kweli yalirudi inawezekana mwizi aliyekuibia kufanya naye mazungumzo, je mahakama ya mafisadi wamejengewa wakina nani?

Hili la trillion 100 ni EPA nyingine, kwa sababu ya unafiki wetu tunaendelea kudanganywa. Leo kwa macho yasiyokuwa na chembe ya aibu ccm wanadai kuwa wale waliokuwa wanapigania sheria za uchimbaji wa madini na mikataba ifanyiwe review upya, na wao ccm waliosaini na kuipitisha kwa ndiooooooooooo kuwa wanatetea wezi ila wao ambao ni wezi walioshirikiana na wezi wenzao ndio wanaotetea taifa.

Hakuna mtu mwenye akili timu anayeweza kukubaliana na uongo huu kwamba Acacia wanaenda kulipa trillion 100 that can't happen under the sun ni uongo wa kuwazubaisha Watanzania kama ule wa EPA
 
Unaambiwa TANZANIA ni miongoni mwa nchi chache duniani unazoweza kuzitawala kwa urahisi sana.Ni sawa na kuwa kocha wa Asernal
 
Ndio maana kila nikifikiria sana kama namuona lissu ataibuka mshindi kwa kupinga wazi wazi uongo huu!
Ni Suala la muda tu
 
Mbona kashashinda maana hizi propaganda za ccm ni mfu kabisa. tena wametuletea lingine la Escrow ambalo walisema si mali ya umma kweli ccm ni mdudu
 
Hela zenyewe zinavyosemwa tu ni utata, hizo hela zimepatikanaje, kwa hesabu gani? Ni hela za mwaka gani?
 
Nani kasema watalipa 100tir???.

Mbona nawewe unadanganya???hakuna aliyewahi kusema tunalipwa hizo hela zote wala 10tir.
 
Wewe umetoka wapi hadi upinge propaganda za ccm kuwa Acacia wamekubali kutulipa trillion 108? na mzee pia alitangaza siku ile na kwa msisitizo akasema naongea kingereza kusisitiza kuwa Acacia wamekubali kutulipa pesa yote iliyotajwa na tume ya pili
 
Hajawahi kusema haya maneno ndugu inamlisha ya kwako.
 
Ndio maana kila nikifikiria sana kama namuona lissu ataibuka mshindi kwa kupinga wazi wazi uongo huu!
Ni Suala la muda tu

Ashinde kwa mchezo upi! maana kama mpira wa miguu ball possession ya JPM ni 99% na tobo 1% ball on target 10, goals JPM 10 tobo 0, ndo kwanza dakika ya tano.
 
Hakuna kitu anachokipenda Mtanzania kama kudanganywa. Na hii ndio njia pekee ya kuishi na mtu mnafiki, huwezi kuishi na mtu mnafiki vizuri bila kumdanganya.

Nashangaa Watanzania wenzangu kuanza kupiga vigelele vya kulipwa trillion 100 na kampuni ya uchimbaji madini ya Acacia inayosemekana imeibia nchi ma trillion ya shilingi. Ebu tujikumbushe kidogo kwa kile kilichotokea baada ya uchaguzi wa 2005 ambao uliambatana na ufisadi wa fadha ya EPA...muda simrefu tulishangilia kwa vigelele tulipoambiwa kuwa walioiba pesa hiyo wamepatikana na wamekubali kuanza kurudisha pesa hiyo, bila kumung'unya maneno ulikuwa uongo mkubwa tuliodanganywa Wadanganyika na kwa unafiki wetu tulimsifia sana Rais. Ebu semeni kweli hivi mabilioni ya EPA yalirudi yakafanya kazi gani?

Nakama kweli yalirudi inawezekana mwizi aliyekuibia kufanya naye mazungumzo, je mahakama ya mafisadi wamejengewa wakina nani?

Hili la trillion 100 ni EPA nyingine, kwa sababu ya unafiki wetu tunaendelea kudanganywa. Leo kwa macho yasiyokuwa na chembe ya aibu ccm wanadai kuwa wale waliokuwa wanapigania sheria za uchimbaji wa madini na mikataba ifanyiwe review upya, na wao ccm waliosaini na kuipitisha kwa ndiooooooooooo kuwa wanatetea wezi ila wao ambao ni wezi walioshirikiana na wezi wenzao ndio wanaotetea taifa.

Hakuna mtu mwenye akili timu anayeweza kukubaliana na uongo huu kwamba Acacia wanaenda kulipa trillion 100 that can't happen under the sun ni uongo wa kuwazubaisha Watanzania kama ule wa EPA
Nimefurahi tumeanza kujitambua
 
Ashinde kwa mchezo upi! maana kama mpira wa miguu ball possession ya JPM ni 99% na tobo 1% ball on target 10, goals JPM 10 tobo 0, ndo kwanza dakika ya tano.

Utoto wako ndio unaokupelekea kuandika hayo unayofikiri, but remember after few days you shall not even scribe JF. mbona waliokuwa wanapinga sharia za uchimbaji madini mliwaita hawapendi maendeleo ya nchi, hivi leo tuko wapi?
 
Mafisi ya Lumumba ndio zao hizo
 
hivi hawa watu wanazijua hizo tillion 100? Hata kama sisi ni wajinga , lakini kwa hili hapana , tusidanganyane mchana wa jua kali hivi.

Sent from my TECNO R7 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom