EPA vs trillion 100, another comedy

EPA vs trillion 100, another comedy

Mkuu kwa ujumla ww hujitambui huwezi kufananisha yaliyopita na ya sasa kumbuka pia hii ni selikali nyingine,,,,,,,labda wewe ungetakaje sas
 
Ashinde kwa mchezo upi! maana kama mpira wa miguu ball possession ya JPM ni 99% na tobo 1% ball on target 10, goals JPM 10 tobo 0, ndo kwanza dakika ya tano.
Ha haaaa haaaaaa ko unaamini acacia watalipa trillion 108 za kwenye ripoti ya osoro
 
Back
Top Bottom