Enziii za mwaaalimu..

Nje ya Mwandosya hao wengine nimetoka kapa.

Halafu...mbona wale wa suti nyeusi siwaoni...au
wapo hapo baadhi....sema mapindi hayo walikuwa full cover....
tofauti wa sasa ukiwaona tuu unawajua..na suti zao za salesale mauwa....[emoji85] [emoji85] [emoji85] ...
 
kumbe na wewe ni kigagula..[emoji87] [emoji87] ....??..
 
Iceman na Aishah mnaharibu thread,
Ukiondoa Mwandosya na Mwl Nyerere, hao wengine ni akina nani?
Walikuwa na vyeo vyovyote serikalini?
bora umesaidia...[emoji1] [emoji1] ...wamejisahau na kuanzishiana mistari hapahapa....[emoji1] [emoji1] ...!!!...
 
Kwani huyo hapo nyuma ya Mwalimu ni nani?Nilifikiri ni mzee wa awamu zoote Mh.saaana 'Tyson' lakini si yeye.,
na hapa yaonekana ndipo "FATHER OF THE NATION" alikuwa anaelekea kung'atuka.
Tafadhali tiririsha utambuzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…