Wadau mi nakumbuka chapter ya - "Nani atamfunga paka kengele??" hapo namwona panya mabaka,panya mwekundu, enhee na panya buku. JITIHADA: wakaanzisha njia za kwenye miiba...
Hivi ni kwenye stori hii limojawapo lilikuwa liongo likawa linamdanganya mwenzake kwamba babu yake ana ngoma kubwa kiasi kwamba watu wanaweza kucheza mpira timu mbili na watazamaji kibao lakini nafasi ikabaki.....!
Hizi stori zinaweza kuwa zimetuathiri watz na viongozi wetu wa vyama vya siasa na serikali,bado wanaamini kabisa wakitwambia tumboni mwa njiwa pana dhahabu kubwa kuzidi kichwa cha Machaku nasi tutaamini.