Enzi zile za Walkman

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mzee wangu alikuaga nayo ya silver
haahaaah ilikuwa gusa unate nilisha wahi kuiba hivyo hivyo ya mzee nikaenda nayo shule kufika kule na makanda yangu yangu mabovu yakanasia kutoa ikawa mziki,unajua kilichofuata
 
haahaaah ilikuwa gusa unate nilisha wahi kuiba hivyo hivyo ya mzee nikaenda nayo shule kufika kule na makanda yangu yangu mabovu yakanasia kutoa ikawa mziki,unajua kilichofuata
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nakumbuka Television inayotumia betri pia!!! Yaani tulikua tunajidaiii!
mtaa mzima wewe ndio wewe kipindi hicho kuwa mtumishi au msomi kunafahari yake bhana,nadhani ndio ilikuwa mwisho mwisho mwa Tanzania kabla haijafa rasmi
 
Nakumbuka bwana nilikuwa na demu Mzungu kutoka ujeruman akiitwa Ester spees

Alikaa bongo km mwaka Hivi badae akarud ujeruman

Alipoenda tu baada ya miez 3
Akanitumia
Walk man
Tape za 2pac, eminem na bob marley

Akanitumia na barua nzuri hatari

Yule Mzungu siwez kumsahau

Ila wahun walinidhulumu vyote nimetunzaga barua tu
 
Unajaza nyimbo kibao unatafuta earphones unanunua betri kibao unarudi shule boarding hahaaa papuchi zinajileta we unakua unampa akalale nayo usiku asubuhi mrejesho jioni chaka la mbunyuo
 
Enzi hizo kuna Boys II men ukija kwenye lingala Kanda Bongo man anatamba na Mayebo ya kupora.
umenikumbusha mbali nilikua na madada zangu kipindi hiyo ndo moto, mastadu hatari walkman za kanda kavyaa bigmaki na shati la drafti drafti au snopi dogi dogi staili hahah mara tape ya brandi, alliyah.dah kitambo sana
 
kung'olea under 20[emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Hapo unapiga kapelo na Shati kubwa hufungi vifungo na white T-shirt ndani.Bila kusahau jinsi ya SAVCO na raba ulimi nje.Hatari!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…