Hahahaa!Mh, umenikumbusha vijarida vya dr love pimbi, enzi hizo tunavisoma darasani! Kumbe vilikuwa vya ukweli eeh!
sasa kuna moja kali wakati nimemaliza darasa la saba nasubiri kuingia form one kuna jamaa mmoja alikuwa kanizidi umri kidogo yeye alikuwa na demu wake akaniambia nimsindikize ilikuwa kama saa 2 usiku, basi jamaa akamwita demu kutoka kwao tukaenda pembeni akawa anabambia kama hatua kumi mbele ya pale napomsubiri nilikuwa naona kwa mbali jamaa akawa anapiga denda huku anamchezea mashine, baadae wakaagana akarudi yule demu akarudi kwao sasa wakati tunarudi nikawa namuuliza mbunye uwa ikoje basi jamaa akaninusisha ule mkono aliokuwa anachezea mbunye ili nisikie harufu ya mbunye
unaambiwa kwa mara ya kwanza siku ile nilienda winga (kusimamisha) mpaka nilipofika home ikabidi nikae kidogo nje mpaka mashine ilipopoa (kama nusu saa hivi) ndio nikaingia home maana kikaptula chote kilikuwa kimepelekwa mbele
Aaah mimi nilikuwa mtu wa ndaba zile za kuchumpa. Mnazikumbuka Avia, Hi-Tech, LA Gear? Ila kuna ndaba zilikuwa zinaitwa Troop....hizi zilikuwa bab kubwa enzi hizo. Mimi nilikuwa nazo pair mbili...nilitesa nazo sana aisee. Nakumbuka nilipata mademu kwa kutumia hizi ndaba. Halafu wakati wa likizo nilikuwaga lazima ninyoe panki...si unajua shuleni mapanki yalikuwa yanakatazwa....basi mimi nilikuwaga nasubiri mwezi wa sita na wa kumi na mbili....
Cheki Troop hiyo...
sasa kuna moja kali wakati nimemaliza darasa la saba nasubiri kuingia form one kuna jamaa mmoja alikuwa kanizidi umri kidogo yeye alikuwa na demu wake akaniambia nimsindikize ilikuwa kama saa 2 usiku, basi jamaa akamwita demu kutoka kwao tukaenda pembeni akawa anabambia kama hatua kumi mbele ya pale napomsubiri nilikuwa naona kwa mbali jamaa akawa anapiga denda huku anamchezea mashine, baadae wakaagana akarudi yule demu akarudi kwao sasa wakati tunarudi nikawa namuuliza mbunye uwa ikoje basi jamaa akaninusisha ule mkono aliokuwa anachezea mbunye ili nisikie harufu ya mbunye
unaambiwa kwa mara ya kwanza siku ile nilienda winga (kusimamisha) mpaka nilipofika home ikabidi nikae kidogo nje mpaka mashine ilipopoa (kama nusu saa hivi) ndio nikaingia home maana kikaptula chote kilikuwa kimepelekwa mbele
Wewe ni mwanaume au mwanamke samahani kama nimekukwaza
Nyimbo za Yondo sister zikipigwa,nilikuwa nayarudi mauno vilivyo!
SI UNGEJITOKEZA TU MBELE YA WAZAZI WAKE HUKU UKIWA UMEVALIA SARE ZA SHULE, UKAMWOMBA BINTI AKUAZIME KITABU CHA '' WHERE AND WHEN CAN WE MEET''? LABDA binti ANGEKUJIBU HICHO SINA NILICHO NACHO NI ''WE CAN MEET AT.......''na wakati huohuo ukijiandaa kutimua mbio just in case wazazi wanakijua kimombo.Leo nimekaa najikumbusha mambo ya zamani, enzi za Mwl nakumbuka kuna demu mmoja nilikuwa namvizia sasa tekinolojia ya kumtoa kwao kama simu ilikuwa hamna na mimi nilikuwa nakaribia kufungua shule kwa hiyo nikawa napita pita kwao ili hata nimuone nimwombe anuani yake ili nijieleze kwa barua (domo zege enzi hizo):smile-big:
sasa nikawa najipitisha pale karibu siku tatu lakini wapi sikubahatika kukutana nae, sasa kuna siku nikaamua kumtuma mtoto mdogo akaniitie, yule dogo si akaenda kumwambia mbele ya wazazi wake, wazazi wakamuuliza yuko wapi akasema sehemu niliyojibanza kichochoroni basi wazazi wote wawili wakatoka kuja pale nilipo baada ya kuwaona nilitoka mkuku kama mwizi jioni wakaja home kumweleza mdingi. Mdingi akaniwakia akanionya nikirudia hanipi tena hela ya matumizi shuleni (boarding)
hebu tukumbushane vimikasa vya enzi za Mwl kama kuandika barua ya kurasa tatu, kusafiri usiku kwenda shule n.k
kuna jamaa mmoja alikuwa house boy wa nyumba ya jirani alitokea Musoma, sasa akapata demu akaimbisha na kukubaliwa kipindi hicho ndio UKIMWI umeingia bado mpya na kondomu ndio hata kutumia watu hawajui basi yule jamaa siku hiyo anaenda kuchenga ilibidi avae kondomu toka nyumbani kwao halafu ndio akaenda kwa demu jamaa njia nzima anatembea na mpira halafu kufika kule walipoaidiana demu hakutokea
funzadume na wewe umeanza kutupiga fikisi hapa hahhahahah
Kama mambo ya huku yanachekesha hivi wengine si tutafukuzwa kazi jamani?
mmmmh?
mie ni mdada ila usirudie kuniuliza,nitamuita Gender Sensitive!
mmmmh.maswala ya domo zege enzi zile usipime!
Nikiwa std four nilimchunuku sana Flora; demu alikuwa bomba shule nzima; mtoto wa mwalimu nami mama ni mwalimu mkuu wa shule hiyo hiyo; sasa mbaya zaidi mama yangu na mama yake walikuwa wakitaniana na kuitana wakwe; wasijue mwenzao nafanya kweli kwa kupenda kitu; kazi ilkuwa kwnye kumwambia Flora; jamani nyie acheni tu hili swala la madem kuhongwa ama kubembelezwa kwa zawadi ni instinct zinazokuwepo aklini mwa wavulana tangu wkiwa wadogo mno kuliko tunavyofikiri! Mie kwa kuwa Mama ni mkuu hivyo nilikuwa na access na funguo ya stoo ya shule mara kwa mara na mzee ilkuwa sifanyi ajizia nikipata mwanya wa kuingia huko kama si daftari 2 ama 3 natoka na rangi za kuchorea ama hata kitabu kimoja cha hadithi na hivyo vitu lazima vifike kwa Flora; Mpelekaji alikua ni Binamu yangu. Basi nikiambiwa kavipokea mimi roho yangu kwatu! aah we acha tu.
Mkasa ulikuja kututokea puani siku binamu alipobambwa na Mama yake Flora; alihisiwa labda kamwibia Mama; kesi ikaletwa nyumbani ilikuwa pata shika ukaguzi ukafanyika chumbani kwangu! mchizi nikakutwa nimetengeneza hadi cheti cha ndoa yetu Flora (coppying my mother's of coz)
Yaani wakubwa wote waliishiwa hamu; nilichapwa sana na kulazimishwa kujiunga kutumikia kanisani mwaka mzima na mama! Shule nzima walijua lakini kwa kuwa nilikuwa mtoto wa ticha mkuu hakuna aliyethubutu kunitania!
lakini kazi yangu ilikuwa na malipo hatimaye nilipofika form one nilizawadiwa tunu na Flora! Namtakia maisha mema huko aliko!