Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 25,209
- 40,650
Siku hizi mambo yamerahisishwa, unatongoza kwa emoji tu.
😉Hebu weka emoji ya kukubali ukitongozwa
😀pamoja na yote hayo siku mkikutana unakuta ni 'used'
😛😛😛kama hii inamaana gani?Siku hizi mambo yamerahisishwa, unatongoza kwa emoji tu.
Kwenye kutongoza sio??!!😛😛😛kama hii inamaana gani?
Sawa mkuuKwenye kutongoza sio??!!
Hiyo ni kulamba teh, ila kama sio kutongoza inamaana tofauti na kulamba
pamoja na yote hayo siku mkikutana unakuta ni 'used'
Mo tena kafata nini huku Cha mitandaoni
Hahahaaa fyekelea mbaliiiiiiiiiiiiiMademu walikua wanavaa sketi ndefu kama dera, ukimtongoza basi kama kuna nyasi atafyeka zote kwa vidole (utunzaji wa mazingira), Mademu wa siku hizi unatongoza linakuangalia usoni kama Jizi