Enzi zetu sisi wahenga

livafan

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2016
Posts
2,991
Reaction score
5,661
Sio mbaya tujikumbushe enzi zetu sisi wahenga, nikijalibu kuangalia miserebuko na mapigo ya siku hizi za kalibuni tofauti ni kubwa sana, enzi zetu binti ilikuwa akivaa moka za kiume hata hajistukii,
Hizi ndizo serebuko adimu kwa sasa.
 
Huyu baba naomba nisiseme nano kwasababu........
Yeye ndie mwenye mamlaka na amiri Jeshi mkuu hapa Chattle....
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Kabla hawaja tofautishwa na siasa sikuzile za urafikiwao, walikua bado ni marafiki wa karibu sana....
 
Dahhhh...
Nimejikuta nakumbuka mtungi wa nyumbani kwetu haki...[emoji20] [emoji20] [emoji20]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…