Maisha bhana eti siku hizi ni mh anapigiwa salutiNi kama ilivyokua hivi... View attachment 910955
Hao waliosoma nae sjui hawakujua namna ya kumwimbia pambio nzuri huyuNi kama ilivyokua hivi... View attachment 910955
Hahahaa, nimecheka peke angu apa nilipoKama Dai, zamani yake...tehteehh View attachment 910962
Hahaahaaa.......Maisha bhana eti siku hizi ni mh anapigiwa saluti
Hahaahaaa.......
Naskia alipandishwa baada ya kumpindua cheupe..
Time ndio mwalimu mwenye amefanya matokeo ya leo aiseeeeHao waliosoma nae sjui hawakujua namna ya kumwimbia pambio nzuri huyu
Hongera kwa kuongeza maisha mkuu....Hahahaa, nimecheka peke angu apa nilipo
Pigo za twanga pepeta ,Ni kama ilivyokua hivi... View attachment 910955
Chezea papuchi ww?!!!Maisha bhana eti siku hizi ni mh anapigiwa saluti
Mungu awajalie maisha marefu hawa wazee wetuKabla hawaja tofautishwa na siasa sikuzile za urafikiwao, walikua bado ni marafiki wa karibu sana....View attachment 910979
Ina mana hapo alitoa Ndo akapewa? ¿Chezea papuchi ww?!!!