Enzi zetu katika picha

Enzi zetu katika picha

Mtanzanika

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2012
Posts
2,389
Reaction score
1,131
Kwanza tulikuwa tunapiga menu heavy!

Ugali Ukerewe - Rwamuhandi.jpg

Halafu tunaenda kucheza. Huyu Golikipa ni MwanaJF maarufu sana siku hizi.

Magoli madogo.jpg
 
aisee umenikumbusha mbali zunguka tumpige mchawi alafu linapitishwa bakuri la maji mzee wa kwanza kunawa ananawa kwa niaba ya wote wengine tunanawa tope lake maana hatukuwa na jagi, ha ha ha ha ha
 
Back
Top Bottom