Enzi zao

Kumbe zamani nilikuwa tall kama hashimu thabiti.
 
Hao wa juzi aisee...mie old 'timer', Enzi za uniform kaptula raba DH...'raba mtoni' mpaka baba yako aende ulaya!

Savco na bioAct unazikumbuka? Mocassin na mashati ya mchelemchele
 
Savco na bioAct unazikumbuka? Mocassin na mashati ya mchelemchele

Kuna mChagga ambaye hakuvaa Savco!? Mocassin tulivaa za kuchonga kwa 'Mangi' soli zinauzwa Manzese...unanunua kwanza soli, halafu Mangi ndo anakuundia kiatu!
 
Kuna mChagga ambaye hakuvaa Savco!? Mocassin tulivaa za kuchonga kwa 'Mangi' soli zinauzwa Manzese...unanunua kwanza soli, halafu Mangi ndo anakuundia kiatu!

Na raba za kuvaa gidamu za rangi mbili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…