Enzi zake.

Kama kusema ukweli kwenye utawala wa Raisi Magufuli ni dhambi basi kwa Lema mtafikisha mahakamani kila siku kesi zote mtashindwa.
Nimeshangaa sana Tanzania kuna sheria ya kumfunga mtu ambaye ameota na kuonyeshwa maono na Mungu?
Wendawazimu tu ndio wanaoamini kua kaota,lkn kwa wenye akili wanafikiria mbali zaidi hasa panapokuja swala la ulinzi wa Rais wetu, kama alijiandaa kutumika kumdhuru kiongozi wa nchi ajiandae kujibu na kuonyesha wana mkakati wenzie vinginevyo hatoki,mmezoea mazingaumbwe lkn sio kwa awamu hii
bado hajafariki mbabe huyo kanimalizia hamsini zangu sana fala huyo kwenye mabanda ya video
 
Aisee Ngelechi nini tena huku?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…