Mheshimiwa supika..
View attachment 209429
Hana bwana ?au mume
Alimsumbua nani? Na ni kwa nini alimsumbua? Kwani kuna watu alikuwa akiwadai?
Bi kiroboto a.k.a Mrs fomesheni
Kwa nini munatania watu na heshima zao, na kama wa umri mdogo angekuwa sawa na mama yako?
Ndiyo maana munapata laana bila ya kujitambua.