Enzi za ujana wao

Enzi za ujana wao

thA goD

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2017
Posts
1,943
Reaction score
1,858
Ukiwa na yako weka,

NB:usi quote Uzi usiongee lolote we tupia picha tu. Moderators naomba huu Uzi uwe na maisha kidogo basi wazee.
IMG_20180402_014805_997.jpg
IMG_20180402_014753_853.jpg
IMG_20180402_014741_318.jpg
IMG_20180402_014722_378.jpg
IMG_20180402_014700_197.jpg
IMG_20180402_014647_172.jpg
 
Huyo mweusi anayecheza b ball ni nani..napia huyo mzungu karibu na photo ya 2pac ni nani?hao wengne wanaeleweka
 
Kwa nini mleta mada usingeziita ni picha za enzi za uhai wao badala ya ujana wao? Picha kama za Mandela, Hitler, Nkrumah, Savimbi, Idd Amin na Samora utasema ni za enzi za ujana wao?
 
Uncle wa Chatto hana Picha za Ujanani au hakuwahi kuwa kijana?
 
Huyo mweusi anayecheza b ball ni nani..napia huyo mzungu karibu na photo ya 2pac ni nani?hao wengne wanaeleweka
Huyo mzunhu karibia na 2pac n Paul walker.. Amecheza move ya fast furous... Na akina vin deseal nk
 
Back
Top Bottom