live on
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 791
- 1,266
Serikali ya Kikwete ilituaminisha Kwamba dawa pekee ya kuwa na internet ya uhakika na bei rahisi ni kutandika mkongo wa taifa nchini kwete Tanzania
Na harakati za kutandika mkongo wa taifa tulikuwa tunaziona zikiendelea hadi sasa nahisi kazi ya kutandika mkongo wa taifa ilishakamilika
Sasa iweje leo Kila siku bei ya vifurushi vya internet inapanda inamaana tulidanganywa au ule mradi wa mkongo wa taifa ulifeli ? cc TCRA