Enzi zako unasoma darasa la kwanza C
Yah m2 wangu std 1 1986
Enzi zako unasoma darasa la kwanza C
Namaliza Certificate MUCCOBS naanza kazi Dodoma Vijijini hizo kengele bado zipo hata Amani P/s Uhuru Mlezi sasa sijui ulikuwa wapi? Dodoma oneYah m2 wangu std 1 1986
Dah acheni bana, na kulikuwa na time keeper kabsaa, yeye kazi yake ndo hiyo tuu. walimu walikuwa wanachagua mdada mmoja msafiiii, halafu mtiifu utakuta moja kamili asubuhi keshawahi anagonga mnawahi namba hahahahaah dah siku nikiwa fisadi ntapita shule zote nilizosoma atleast nikumbuke tu mazingira yale!
Ikipgwa muda wa mchana hata kama mwalimu yupo darasani mnashangilia kwenda hom....