Nafunguaje NGO na kupata hela za mradi?

Unatakiwa kulipia mi nakufundisha hatua zote Hadi platforms wanazotumia kuweka katiba na cheti cha iyo NGO Hadi wazungu unawaletaje Tanzania na kuja kuvolunteer kwenye taasisi Yako na kutoa pesa kukusaidia kwenye miradi yako

sh ngap
 
Kulipia wapi sasa... Embu weka maelezo yanayoeleweka
Aache ujinga huyu... Hakuna step hizo. Ngo ili ipate fund lazima iwe giant. Na iheshimike au kuwa na CV kama unavyoona kuomba kazi TU. Ngo nyingi kwa sasa zinasota kwa pesa za CSR tu. Wanatumika kama sehem za marketing kwa makampuni mkubwa. Mradi ukute wa public health na CDC au pepfar wameweka hela pale sio kitoto. Sisi tuna miaka 10 sasa mirdi inenda kwa hela za kifungua kinywa tu
 
Acha kubisha vitu usivyovijua kaka,watu tuna skills tofauti tofauti hatuwezi kufanana
 
Ngo

Kupta fund mkuu lasima ifanyikee authorization ya kutosha. Hasa funders wakupe barua ya WOC, na wakague strategic plans.

Ngo nyingi zinaishia hela ya vitafunwa tu. Pepfar au embassy kuweka hela kwenye mradi sio kitoto. Tena sometimes ufanye pilot na ripoti ishibe.

Mbona kuna ngos zinakula pesa ndefu sana,wao wanawezaje? na nyingine zinashindwa wapi?
 
Nafikiri kwa manufaa ya wengi ndg, ungeeleza hapa namna ya kunufaika na utakuwa unesaidia wengi na kuwawezesha pia kutengeneza ajira kwa wengine, wakati mwingine tufanye mambo kwa maslai mapana ya jamii na siyo kijiangalia tuu sisi wenyewe!
Nikielezea hapa sitomaliza na naogopa kutoa maarifa BURE ambayo watu hawatoyafanyia kazi na ntapoteza nguvu zangu BURE,mtu ambaye yupo tayari anicheck PM ili nimsimamie kuanzia kuanzisha NGO jinsi ya kuisajili,gharama za kuisajili,hatua za kuisajili, documents zinazohitajika,kupata cheti cha taasisi,machimbo ya kuiandikisha taasisi Yako mtandaoni ambayo wazungu au volunteers wataiona na kutafuta Kisha watakuja Tanzania kutembea na kujitolea Kwa ujuzi na Mali kwenye taasisi
 
Back
Top Bottom