Dodoma one
JF-Expert Member
- Apr 23, 2012
- 326
- 29
Enzi hizo raha sana,unakula na kulala bure na majukumu hivyo ilikuwa raha sana
Ha ha ha nilikuaga timekeeper,one day njaa alikaa penyewe then nikaring 40 minutes b4 ten am ili nipate cha kujitetea,nikazungusha mshale wa saa kuonyesha saa 4