wakati wa jk dah cjui nianzie wapi!
enzi za mwalimu bendera ikiwa inashushwa saa kumi nambili filimbi ikilia tu watu wote mnasimama siku izi sijui imeishia wapi
Jaman ukweli mwingine unatufunga,lakini hata bendera zenyewe hazipandishwi siku hizi mfano bora pitia vituo kumi vya polisi ufuatilie ni vituo vingapi vinapandisha bendera..Yaan utachoka.
wanaume ndo mnasababisha wasichana waanze mapema mana msichana akikwambia tusifanye wewe unamjibu mie sie kaka yako wala baba yako kama vipi ambaa .>Enthi tha mwalimu wasichana wengi miaka 20 kumkuta na bikra ni kawaida,thatha ivi miaka 13 hukuti kitu,
majonzi tu kila sekta, ukianza elimu ovyo, afya kilio wagonjwa wanalala chini, uchumi ndo kabisa, sitaki ata kufikiriatutasemaje enzi za jk
Na tigo anakupa anasema niongeza-Enzi za mwalimu wanawake walikuwa wagumu sana kutoa mchezo lakini siku hizi demu unatongoza saa nne kamili na saa nne na nusu unapiga bao.
Unamaanisha tumewashikia akili zenu and OUR WISH is YOUR COMMAND?wanaume ndo mnasababisha wasichana waanze mapema mana msichana akikwambia tusifanye wewe unamjibu mie sie kaka yako wala baba yako kama vipi ambaa .