Du huyo jamaa kiboko...Nakumbukuka niko sec Siha ,siku moja jioni kuna jamaa kutoka kigoma alienda kujisadia ,na alikuwa na Ada kwenye walet ghafla ikadondoka chooni,alikuwa form 6,akaanza kutindua choo kwa pembeni, akaingia na kuitoa ada ,bahati nzuri kulikuwa na vyoo vya kulenga set mbili.alinyoa nywele zote mpaka kwenye kope,he had a strange personality.
Kwanjeka noma,kuna mother mmoja tulimkamata mwanae kwa wizi wa viatu,alipotonywa kuhusu mwanae kukamatwa na wanafunzi,alikuja mkuku na kuanza kuvua nguo moja baada ya nyingine,wote tulitoka nduki tukamwacha yeye na mwanae.
Katavi ipi mbona mimi nimesoma huko hayao mambo yalikuwepo sana tuu! hasa wakati wa Nyama na wali!ahahahaah!! Bora sisi seminarini hakukuwa na ubabe wa namna hii!
Moshi tech enzi izo siku ya wali ukijaziwa sahani uwezekano wa kuipoteza au kukuta punjepunje ndo zimebakia ulikuwa mkubwa. Siku moja tumeingia mesini kwa kugombania tukajikuta tumeizunguka meza ila kuchukua sahani zetu ilikuwa insue,meza ikawa ina move kutegemea na upande unaokuwa weak. Nyali ikawa inamwagika na plate nyingine zinaibiwa apoapo na mwizi unamuona ila kutoka na kumkamata haiwezekani. Ku miss wali ilikuwa kawaida. Maisha ya bording ni hadithi tosha kwa wanangu
Kama kuna mtu alisomea Monfort Secondary school,,,,,, huko Rujewa kama wapo,, pls naomba PM.Nakumbuka siku moja nikiwa o-level form 1 kibaha sec,si unajua ule utaratibu wa misosi,watu kadhaa mnaunda kikosi,maybe watu 13 mnakuwa na dishi lenu moja la ugali/wali na moja la mboga.Ugumu ulikuwa unatokea ikifika zamu yako,unafuata msosi jikoni,unagawa kwa wenzio na kuosha madishi na kuyarudisha jikoni.siku moja jamaa alipojua ni zamu yake akaamua kutokuja kabisa.Tulikuwa form one 5,form two 4 na form four 2.Form four mmoja akashauri form one(nyoya,salamanda,nyoka) mmoja ajitolee lakini tuligoma wote.Wale form iv walijitolea ku-save msosi,ila walichofanya sitasahau.Waligawana msosi wao wawili wakatosheka,baada ya hapo walimwaga wali wote uliobaki chini na mchuzi wakaugeuza maji ya kunawa,kiufupi tulipigwa dash.Dah!vp wewe ulipokuwa form one,tupe kisanga kilichokukuta!
Mkwawa high school kwa sisi tuliosoma o level seminari tulipata shida sana nyakati za mwanzo kusoma na mabinti hasa nyakati za prepo. Kombolela hasa siku za jumatatu katika mabweni ya wavulana...Nakumbuka siku moja nikiwa o-level form 1 kibaha sec,si unajua ule utaratibu wa misosi,watu kadhaa mnaunda kikosi,maybe watu 13 mnakuwa na dishi lenu moja la ugali/wali na moja la mboga.Ugumu ulikuwa unatokea ikifika zamu yako,unafuata msosi jikoni,unagawa kwa wenzio na kuosha madishi na kuyarudisha jikoni.siku moja jamaa alipojua ni zamu yake akaamua kutokuja kabisa.Tulikuwa form one 5,form two 4 na form four 2.Form four mmoja akashauri form one(nyoya,salamanda,nyoka) mmoja ajitolee lakini tuligoma wote.Wale form iv walijitolea ku-save msosi,ila walichofanya sitasahau.Waligawana msosi wao wawili wakatosheka,baada ya hapo walimwaga wali wote uliobaki chini na mchuzi wakaugeuza maji ya kunawa,kiufupi tulipigwa dash.Dah!vp wewe ulipokuwa form one,tupe kisanga kilichokukuta!
Mi nakumbuka mwaka 1994 tukiwa sengerema secondary a.k.a Singapore, ile tunaingia form 5 kuna mwalimu mmoja tulimkuta anaitwa mwalimu BUGA.kumbe bwana lilikuwa jina la utani...siku moja akanikamata sijaenda parade, basi akawa ananiuliza namjua yeye ni nani? me kwa kujiamini nikamwambia wewe si mwalimu BUGA.. aiseeeeeee nilichezea kichapo cha hatari..kumbe bwana BUGA lilikuwa jina la utani,,kwa vile alikuwa anavaa suruali zile BUGA..yaani ile juu imebana afu chini umemwagika..ahahaha sitasahau kabisa..
Tanga tech kuna kiumbe mmoja anaitwa mdoe alikuwa mwalimu wa nidhamu.Yeye mkikumbana kitaa iwe makorola,kwanjeka,sahare,raskazoni beach n.k,ukimkimbia hata akikuona kisigino au kisogo,utamsikia anavyobweka nyuma,'wewe ni goodluck johnson lema,unaishi bweni la twiga,dorm C,cube namba 3,kitanda namba 245,Form V PCM 3,kesho tuonane uwanjani ukiwa na kwanja.Mkuu umegusa penyewe, namkumbuka "Braza" Mpande na mambo yake ya kuja kuamsha watu kwenda mchaka mchaka. Kuna siku alikuja na kali ya mwaka: Eti akiwaona watu mjini alikuwa anawakariri uso, sasa watu wamegundua wakimwona tu wanageuka upesi na anashindwa kuwakariri uso, basi akasema atakuwa anakariri visogo. Baada ya majuma kadhaa akasema wanafunzi wakimwona basi wanageuka na kuvua mashati wanayafunga kichwani ili kuficha visogo, sasa akasema basi nitakuwa nakariri (ashakum siyo matusi) ******, nikiliona linaenda hivi au hivi basi nitajua ni la fulani,,, alikuja kutuacha hoi siku alipo-prove jinsi mbinu yake inavyofanya kazi kwa kumtolea mfano jamaa mmoja aliyemwona town Moshi,,
Yule Mwalimu sintokaa nimsahau aisee..
Ahahahaaah!!!Mimi nakumbuka nilikuwa nasoma Lake Secondary Mwanza tulikuwa form two nilikuwa na rafiki yangu mmoja mdosi anaitwa Raju, alikuwa noma kwa kupiga nyeto kwa siku alikuwa anapiga nyeto mara tatu au mara mbili, uwezi kuamini ukimuona alikuwa mpole sana lakini kwa nyeto balaaa!!