kwa wale wa MAGAMBA BOYS a.k.a GAMBIAN BULLS kule lushoto, kulikuwa na mtindo wa kupigwa fundo form 1 usiku, yaani jamaa anafunga peasi kwenye taulo halafu usiku ukiwa umelala unabondwa nalo kisha ukishtuka mtu keshasepa, ili kuepuka hilo inabidi daily uwe bundi darasani usome, au form 1 (njuka, ndama....kz) mnaamshwa saa6 usiku kwenda kuoga na kuna baridi ya kufa mtu, wengi sana walishindwa yale maisha ya unyanyasaji wakahama na wengine kuacha shule, tulivyofika form 2 ndio na sisi ubabe ukaanza. kwa kifupi shule nyingi sana za boarding enzi hizo zinafanana kitabia kabisa, shule za private nyingi zilikuwa hazina sifa coz waliokuwa wanaenda huko ni wale waliofeli msingi, gvnmt ilikuwa shule za vichwa tu, maskini asaiv shule za serikali zinaonekana majalala.
.....umenikumbusha mbal mkuu...nlipataga dhahams hiyo kaunda dom..mwl munde alikuwa zam