enzi hizoo kifaa kipya kikija class

enzi hizoo kifaa kipya kikija class

Tyta

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2011
Posts
12,767
Reaction score
10,539
Dasarani1.jpg
 
Haaaahaaa aisee huyo jamaa bench ya mbele anaonekana kiwembe sana manake ashajistukia, na new comer akijua story yake tu kwisha habari ndege lazima aruke tunduni
 
mkuu tayta we ndo rafiki yangu Macho wa Mabibo Dar now yupo Mwanza au ...?
 
Haaaahaaa aisee huyo jamaa bench ya mbele anaonekana kiwembe sana manake ashajistukia, na new comer akijua story yake tu kwisha habari ndege lazima aruke tunduni

hebu muangalie vizuri suruali yake.....ashaamka!
 
Lakini pamoja na hayo yote, tulikuwa tunasoma na kufaulu vizuri, sasa sijui siku hizi awa vijana wamejaza nini vichwani mwao...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom