Enzi hizo

Sasa kwenye kutokea demu ndio ilikuwa balaa. Simu hazikuwepo dah watu walikua na maujuzi ya hatari. Appontiment zile za usiku utasikia ka mluzi, jiwe juu ya bati au mwanga wa tochi umepiga mara moja au mbili utashanga sister au ndugu wa kike anatoka nje. Sema iliikuwa raha sana ela ya kula shuleni haikua tabu kabisa ukishajua mchezo tu shem atakutoa ili ufiche siri.
 
Enzi hizo mtoto mwaka mpya huoni,,,unasubiri hadi unalala,,,lakini watoto wa sasa tunao hdi kunakucha....kwenye tv halali
 
Kumbuka hiyo ndio ilikuwa inaitwa. " dala "
Sawa na US $ 1
Leo hii dola ni sh ngapi?
alaf tunaambiwa uchumi unapanda.
Zaman watu walikuwa hawana hela. Kuipata mbinde lakini ilikuwa na thamani lakini Leo. Hela kupatikana ngumu na haina thamani ukipata 10, 000. Ukiichange tu hamna kitu.
 
Chocolate fulani hivi zilikuwa kwenye karatasi za rangi nyekundu na nyeupe bahati mbaya jina silikumbuki maana darsa ka kusoma na kuandika halikuwa limenikolea mujarabu.
 
Ulichelewa kweli. Kuna vitu vilikuwa vinauzwa sh 1.
Sasa hyo ni sh 5.
Alaf kulikuwa na senti. Huyo Mjomba ni mkubwa usimpimie

Mkuu inaelekea we ni mhenga. Ulikuwepo wakati hiki chuma kikiwa na nguvu yake
Ulichelewa kweli. Kuna vitu vilikuwa vinauzwa sh 1.
Sasa hyo ni sh 5.
Alaf kulikuwa na senti. Huyo Mjomba ni mkubwa usimpimie
 
Leo hii dola ni sh ngapi?
alaf tunaambiwa uchumi unapanda.
Zaman watu walikuwa hawana hela. Kuipata mbinde lakini ilikuwa na thamani lakini Leo. Hela kupatikana ngumu na haina thamani ukipata 10, 000. Ukiichange tu hamna kitu.


Kweli tupu
 
Chocolate fulani hivi zilikuwa kwenye karatasi za rangi nyekundu na nyeupe bahati mbaya jina silikumbuki maana darsa ka kusoma na kuandika halikuwa limenikolea mujarabu.
Kit Kat ?
 
Thamani ya fedha yetu ilipokuwa juuView attachment 623054
Dah we jamaa bana. Mi nilikuwa napewa ya shule afu napita dukani naomba chenji napata shingi moja moja tano basi nikitembea zonagpngana mfukoni. Basi full kufatwa fatwa na videmu. Dah wapi Kurasini primary school na demu wangu Irene
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…