Enzi hizo ! Wengi mmetokea hapa ! Usibishe !

KakaNanii

JF-Expert Member
Sep 28, 2008
325
52
Enzi hizo ! Wengi mmetokea hapa ! Usibishe !
 

Attachments

  • 305496_271344599553223_100000330567430_910070_14358525_n.jpg
    305496_271344599553223_100000330567430_910070_14358525_n.jpg
    78.6 KB · Views: 118
WATAKAOBISHA UJUE WENGI WAMETOKA HUKO si unakumbuka ule usemi usemao maskini akipata...
 
Hii picha imenikumbusha mbali.yan umeenda kijijin kwenu,watoto wa dadako,kaka au shemeji unawapga picha then unakuja kubwaga apa.wangekuwa na access ya kuona hii,usingerud kwenu
 
haha, kigauni cha huyo dada kimeshonwa na mkono kutoka vitambaa mbalimbali za nguo zilizochanika, kudadadeki, hapo kuoga labda unyeshewe mvua kwa bahati mbaya, ndio, unabahatika kutia maji mwilini, teh teh
 
Back
Top Bottom