Enzi hizo, tumetoka mbali jamani

Enzi hizo, tumetoka mbali jamani

MAMENGAZI

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2010
Posts
779
Reaction score
129
Very happy, kupanda kwa bei ya petrol, kukatika kwa umeme, kupanda kwa bei ya vyakula, sijui maisha magumu, haviwahusu hata kidogo wanachojua asubuhi mkono utaenda kinywani, ikifika mchana mama atawapa msosi na jioni hawategemei kulala na njaa, maisha yenu magumu mtajua wenyewe.
 

Attachments

  • ATT00001.jpg
    ATT00001.jpg
    20 KB · Views: 63
Watoto wako bomba,afya ya kufa mtu.Hapo homa za kijinga hazitii mguu.
 
Back
Top Bottom