Hili gameduuuuh kumbeeee
teh teh acha masihara mkuuSocial networks zinawasaidia sana kutangaza soko lao kimataifa, tofauti na zamani ambapo hata wanaume wenyewe kumtongoza dem mpaka ujipande full uoga.
Sku hizi unatuma tuu Emoj inbox anakujibu "I love you too"
Siku za mwisho kwenda wapi?Upendo umepoa sana zama hizi. Maandiko matakatifu yanataja suala la kupoa kama moja ya dalili za siku za Mwisho.