Enzi zileeeeeeeeeeeeeeeeeeeee................... yaani dah!
1.ahadi za mwanatanu
2.kibanga ampiga mkoloni
3.siku ya gulio katelelo
4.heri mimi sijasema
5.kambi ya kaboya.
vingine mtaongezea wakuu.
Mwenzenu nilisubiri saaaana kuonana na Roza nimtokee.. nilipoona simpati nikajipa matumaini labda ntampata Neema wa kwenye Mr. and Mrs. Daudi. naye hadi leo kimya..
hahaaaa! mkuu naona dogo Baraka atakuwa na phd kwa sasa, maana ni kitambo sana!