Umenikumbusha mbali mwaka 1982 nilikuwa ninayo Radio kaseti kama hiyo hongera Mkuu mshana jr
Na miziki iliyotamba ni yekeyeke nk
"kikuku kinanukia uuunhhh...." ...teh teh teh!!!
Life was so wonderful
Idhaa ya Taifa RTD, Mkoa kwa Moa na Chris Katembo.
huyu mchora katuni wa Mwana nchi Communication limited?