Enyi Wanyiramba Mbona mnatutesa?

Enyi Wanyiramba Mbona mnatutesa?

Mimi ni mpinzani mkubwa wa ukabila na udini.

Lakini nalazimika kuhoji kuhusu ukabila wa watu wawili nchi hii ambao ni chanzo cha utekaji, ung'oaji kucha ma meno na udhalilishaji kwa demokrasia na haki za raia.

Hawa ni pamoja na Mwigulu Nchemba na Ramadhani Ighondu.
Sijui hawa watu kwa nini wana kiu kali sana ya damu. Wamekuwa wakitajwa kwenye mauaji, utekaji na utesaji kwa namna ya ajabu. Kila wakati hasa Mwigulu amekuwa akijibidiisha kutengeneza propaganda dhidi ya CHADEMA.

Cha kushangaza mno ni namna serikali na system inawalinda kwa gharama zote baada ya kufanya uhalifu huu mkubwa. Vyombo vyote vya dola vinawalinda kupita kiasi. Ikulu inawalinda na kuwakumbatia. Wana nguvu gani hadi kufikia kufanya wanachofanya?

Najua Wanyiramba ni watu wema na wakarimu sana. Lakini hamuoni kwamba hawa watu wanaharibu kabisa jina la Wanyiramba?
Mimi nashangaa sana Mwigulu Nchemba kwa nini amekua askari kanzu wa ugaidi dhidi ya cdm wakati cheo chake ni katibu mkuu msadizi wa ccm. Naona anaipeleka ccm pabaya.
 
Uuuuuwi!!! Kwanini Rama Ighondo na Mwigulu Nchemba mnatia aibu Mkoa wetu wa Singida?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom