Mimi ni mpinzani mkubwa wa ukabila na udini.
Lakini nalazimika kuhoji kuhusu ukabila wa watu wawili nchi hii ambao ni chanzo cha utekaji, ung'oaji kucha ma meno na udhalilishaji kwa demokrasia na haki za raia.
Hawa ni pamoja na Mwigulu Nchemba na Ramadhani Ighondu.
Sijui hawa watu kwa nini wana kiu kali sana ya damu. Wamekuwa wakitajwa kwenye mauaji, utekaji na utesaji kwa namna ya ajabu. Kila wakati hasa Mwigulu amekuwa akijibidiisha kutengeneza propaganda dhidi ya CHADEMA.
Cha kushangaza mno ni namna serikali na system inawalinda kwa gharama zote baada ya kufanya uhalifu huu mkubwa. Vyombo vyote vya dola vinawalinda kupita kiasi. Ikulu inawalinda na kuwakumbatia. Wana nguvu gani hadi kufikia kufanya wanachofanya?
Najua Wanyiramba ni watu wema na wakarimu sana. Lakini hamuoni kwamba hawa watu wanaharibu kabisa jina la Wanyiramba?
mrengo wa kati! unaweza kuacha tabia ya mwenzio mwigulu na ukajaribu kujenga hoja? maana twaweza kuwa watu wa upande huo!
Ighondu ni Mnyaturu, ila dhambi za Mwigulu achomwe moto pekeyake usituusishe wanyiramba wote. Naweza sema Wanyiramba wanajitesa wenyewe kwa kuendelea kuichekea CCM wakati ukiorodhesha kero 1,000,000 za Tz hakuna ambayo mwana Iramba hamgusi. ''Iramba nkulu kuliko Tz'' Mungu saidia
Kule kwa Lissu hawana mateso kabisa,wana maji kila nyumba,barabara za lami hadi milangoni jimbo lote,wana TV kila familia,wana kiwanda cha nguo,kila raia analipwa posho ya kujikimu kwa mwezi,kila mwanafunzi shule ya msingi ana laptop,maziwa yanatoka kwenye mabomba,hakuna nyumba ya tembe,kijana akioa anapewa milion 5 za kuanzia maisha,.......Lissu kamaliza kazi zake zote jimboni sasa anatetea maslahi ya Chadema bungeni! Wabunge wa Chadema igeni uchapa kazi wa Tundu Lissu kamaliza kazi yote kwa miaka miwili tu!
kamanda unalonga ukweli ni aibu kuwa na mbunge kama huyu .....tunalifanyia kazi na matokeo yako uatayaona!Mimi ni mpinzani mkubwa wa ukabila na udini.
Lakini nalazimika kuhoji kuhusu ukabila wa watu wawili nchi hii ambao ni chanzo cha utekaji, ung'oaji kucha ma meno na udhalilishaji kwa demokrasia na haki za raia.
Hawa ni pamoja na Mwigulu Nchemba na Ramadhani Ighondu.
Sijui hawa watu kwa nini wana kiu kali sana ya damu. Wamekuwa wakitajwa kwenye mauaji, utekaji na utesaji kwa namna ya ajabu. Kila wakati hasa Mwigulu amekuwa akijibidiisha kutengeneza propaganda dhidi ya CHADEMA.
Cha kushangaza mno ni namna serikali na system inawalinda kwa gharama zote baada ya kufanya uhalifu huu mkubwa. Vyombo vyote vya dola vinawalinda kupita kiasi. Ikulu inawalinda na kuwakumbatia. Wana nguvu gani hadi kufikia kufanya wanachofanya?
Najua Wanyiramba ni watu wema na wakarimu sana. Lakini hamuoni kwamba hawa watu wanaharibu kabisa jina la Wanyiramba?
......(penye blue) huna lolote, na sijui umefanya utafiti kwa kiwango gani hadi kuja na generalization za kiwango cha chini kiasi hicho....Mimi ni mpinzani mkubwa wa ukabila na udini.
Lakini nalazimika kuhoji kuhusu ukabila wa watu wawili nchi hii ambao ni chanzo cha utekaji, ung'oaji kucha ma meno na udhalilishaji kwa demokrasia na haki za raia.
Hawa ni pamoja na Mwigulu Nchemba na Ramadhani Ighondu.
Sijui hawa watu kwa nini wana kiu kali sana ya damu. Wamekuwa wakitajwa kwenye mauaji, utekaji na utesaji kwa namna ya ajabu. Kila wakati hasa Mwigulu amekuwa akijibidiisha kutengeneza propaganda dhidi ya CHADEMA.
Cha kushangaza mno ni namna serikali na system inawalinda kwa gharama zote baada ya kufanya uhalifu huu mkubwa. Vyombo vyote vya dola vinawalinda kupita kiasi. Ikulu inawalinda na kuwakumbatia. Wana nguvu gani hadi kufikia kufanya wanachofanya?
Najua Wanyiramba ni watu wema na wakarimu sana. Lakini hamuoni kwamba hawa watu wanaharibu kabisa jina la Wanyiramba?
.......well said big boy.Mwenye tabia hiyo ni Lwakatare! Yupo segerea anatumia debe kwa haja kubwa na ndogo na kupiga chafya za aina zote
.....awe mnyaturu, mnyiramba, mmanyema, ------ nk; cha msingi hapo ni kwamba kazi aliyotumwa, aliikamilisha sina hakika ni kwa kiwango ganiRamadhan ighondo ni mnyaturu
SAFI SANA hawa watu wanadhani Mbunge huyu kuishi DSM na kuonekana kila mara kwenye TV ndiko kusaidia Bunge na nchi nzima kuingia kwenye malumbano yasiyo na maanaKule kwa Lissu hawana mateso kabisa,wana maji kila nyumba,barabara za lami hadi milangoni jimbo lote,wana TV kila familia,wana kiwanda cha nguo,kila raia analipwa posho ya kujikimu kwa mwezi,kila mwanafunzi shule ya msingi ana laptop,maziwa yanatoka kwenye mabomba,hakuna nyumba ya tembe,kijana akioa anapewa milion 5 za kuanzia maisha,.......Lissu kamaliza kazi zake zote jimboni sasa anatetea maslahi ya Chadema bungeni! Wabunge wa Chadema igeni uchapa kazi wa Tundu Lissu kamaliza kazi yote kwa miaka miwili tu!
Imeeleweka unafanya kazi ya kupangua hoja na si kujadili. Hebu tunaomba mchango wako juu ya uzi. kama huna mchango tumia macho na mikono iscrow back kwenda uzi mwingine ambao utakuwa na mchango.