Arien
JF-Expert Member
- Aug 29, 2017
- 11,241
- 11,781
hahahaha naona mmeamua kuibadilisha misemo ambayo si ajabu mliianzisha wenyeweNyuma ya mafanikio ya mwanaume yupo mwanamke aitwae "mama".
Kwahiyo apambane na kubet siku akifanikiwa aje.
hahahaha naona mmeamua kuibadilisha misemo ambayo si ajabu mliianzisha wenyeweNyuma ya mafanikio ya mwanaume yupo mwanamke aitwae "mama".
Kwahiyo apambane na kubet siku akifanikiwa aje.
Walianzisha wanaume wenyewe. Hatujabadilisha, nimewakumbusha tu kuwa huyo mwanamke ni nani.hahahaha naona mmeamua kuibadilisha misemo ambayo si ajabu mliianzisha wenyewe
kumbe? mi siku zote nilihisi ni nyinyi mlioanzisha ili kuonyesha umuhimu wenu ktk maisha ya mwanaume...hasa kwenye ndoa.Walianzisha wanaume wenyewe. Hatujabadilisha, nimewakumbusha tu kuwa huyo mwanamke ni nani.
Kwani umuhimu wetu hamuujui hadi tuwaonyeshe? Muulize Adamu ndio utaujua umuhimu wetu, bila sisi mngewehuka nyie[emoji85] [emoji85] [emoji85]kumbe? mi siku zote nilihisi ni nyinyi mlioanzisha ili kuonyesha umuhimu wenu ktk maisha ya mwanaume...hasa kwenye ndoa.
ila kama ni hivyo usemavyo basi sawa
hahahaha vice versa is also veeery true!Kwani umuhimu wetu hamuujui hadi tuwaonyeshe? Muulize Adamu ndio utaujua umuhimu wetu, bila sisi mngewehuka nyie[emoji85] [emoji85] [emoji85]