Enyi mliooa, mlipataje wake?

nenda kaoe ulikozaliwa, tafuta hata biinti wa jirani atakufaa. ila jinsi unavotafuta sijui barabarani mara kwenye daldala utapata tabu sana
 
Mkuu nakushauri uende KANISA LA UFUFUO NA UZIMA PALE KUNA WATOTO KONKI
 
Una pesa kweli wewe....? Tongoza acha uoga, kikubwa jichanganye na watu hasa kanisani, msikitini kazini, rafiki za marafiki zako wa kike au rafiki kabisa hawa ndiyo wake wazuri kabisa.
 
Mbabu naona umepata nguvu baada ya kufturu[emoji23][emoji23]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Mbibi bana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…