Enyi Maphotographer, nauliza swali?

Enyi Maphotographer, nauliza swali?

mathsjery

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2015
Posts
2,287
Reaction score
1,855
Nilitaka kupiga picha pale kariakoo na camera yangu niipendayo.

Kama mjuavyo hizi dslr ni kubwa ukilinganisha na simu, sometime naweza ficha simu kwa namna fulani ili nipige picha sehemu bila watu kujua pamoja na kuwa sehemu hizo hazina warning juu ya maswala hayo.

Ishu ni kwamba wabongo wengi huwa ni wakorofi sijui why?

Niliwahi kupigwa mkono wangu na maza muuza mwichi pale singida stand nikiwa kwenye basi nachungulia wakati napiga picha maeneo hayo, kidogo nidondoshe camera yaani nilisikia kama navunjika mkono nahisi alijua nampiga yeye.

Sasa nataka kupiga picha hapo kkoo, muda wowote, je nitafichaje camera wakati nataka nipige mizunguko ya watu pale.

Mnipe tips naanzaje nisije vunjiwa camera 😀😀.
 
Ila wazungu huwa hawasemeshwi. Hata ukimkuta na li DSLR na Lens kubwaaa anapiga picha mahali, tena ndio wabongo wanajitokelezea waonekane vizuri. 😂😂

Ila jaribu tu kutumia simu. Tafuta au hata azima simu yenye camera nzuri.
 
Hivi zile lens za simu umeshawahi tumia maana nasikia zinavuta picha vizuri, nataka ninunue ila nimecheki review online ziko poa na nyingi zinaanzia 8x zoom n.k.
Nataka kujua kama unazipata fresh.
 
Back
Top Bottom