Enyi kina Dada mbona mnatubania Sana

Enyi kina Dada mbona mnatubania Sana

ryana fan

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2018
Posts
2,632
Reaction score
3,063
Habari zenu wakuu.
Niende moja kwa moja kwenye mada.

Nimepanda zangu public car (Daladala) kutoka pande za Moroco kuelekea Tegeta pembeni yangu amekaa binti moja mrembo kweli kweli.
Cha kushangaza kila nikijaribu kuongea nae yupo busy na smartphone yake duu. Amenikata maini baada ya kutoa head phone zake na kutia sikioni mwake yaani Basi tu Sina ujanja Tena tho roho inauma kwakweli.
Tafadhalini kina Dada msitufanyie hivi, ongeeni na Sisi Basi japo kidogo ikiwezekana tubadilishane na namba pia. Mungu anawaona mjue.

Nawasilisha.
 
Siku nhinyine uwe unawaongelesha huku unawapa hela
 
Ulitakiwa umpe konda nauli ya watu wawili. Mpaka hapo angesema asante. Alafu unaendeleza
 
Tembea na pingu mzee, watu kama hao unawatia pingu mpaka uhakikishe amekupa namba na umeijaribu kama ni yenyewe isije kuwa ya bajaji.
 
Ugemlipia nauli uone kama atakataa
Habari zenu wakuu.
Niende moja kwa moja kwenye mada.

Nimepanda zangu public car (Daladala) kutoka pande za Moroco kuelekea Tegeta pembeni yangu amekaa binti moja mrembo kweli kweli.
Cha kushangaza kila nikijaribu kuongea nae yupo busy na smartphone yake duu. Amenikata maini baada ya kutoa head phone zake na kutia sikioni mwake yaani Basi tu Sina ujanja Tena tho roho inauma kwakweli.
Tafadhalini kina Dada msitufanyie hivi, ongeeni na Sisi Basi japo kidogo ikiwezekana tubadilishane na namba pia. Mungu anawaona mjue.

Nawasilisha.
 
Tembea na pingu mzee, watu kama hao unawatia pingu mpaka uhakikishe amekupa namba na umeijaribu kama ni yenyewe isije kuwa ya bajaji.
Khe khe khe khe khe.....sawa sawa mkuu
 
Uwoga wako ndo umaskn wako ungemwambia tu atoe ata hizo eyephone
 
Umengemwambia sista umekali mavi embu cheki angekuulixa yako wapi hapo hapo unabadili mada
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom